Urembo!
maisha ya mwanamke yanatawaliwa na urembo zaidi ya vingine vyote na ni vema tukijifunza wote urembo unapatikana vipi na kwa jinsi gani.....
Popular Posts
-
Urembo:Yai kwa urembo wa ngozi, nywele YAI limekuwa na matumizi kama chakula kwa muda mrefu, wapo ambao hutumia chakula hicho kwa k...
Saturday, October 22, 2011
Monday, October 10, 2011
YAI KWA UREMBO WA NGOZI NA NYWELE....................
Urembo:Yai kwa urembo wa ngozi, nywele
YAI limekuwa na matumizi kama chakula kwa muda mrefu, wapo ambao
hutumia chakula hicho kwa kukaanga, kuchemsha, kunywa likiwa bichi na au
kuchanganya katika vyakula vingine mbalimbali.Lakini pia kuna matumizi
ya Yai zaidi ya chakula, kwani linauwezo mkubwa wa kurutubisha ngozi,
nywele na pia kuondoa uchovu.
Jinsi ya kufanya ukitaka kutumia Yai kuboresha muonekano wa ngozi na nywele zako.
Chukua Yai, changanya na asali kijiko kimoja cha chai mafuta ya Olive .Chukua mchanganyiko huo kisha pakaa usoni na shingoni, kaa nao kwa dakika kumi hadi 15. Hii itasaidia kama una mashimo usoni yatokanayo na chunusi kubana.
Pia itasaidia kulainisha ngozi yako na kuwa nyororo, mchanganyiko huu pia utasaidia kukuondolea michubuko au alama za kuungua na jua, mafuta au krimu usoni.Unaweza kutenganisha kiini cha Yai na ule ute mweupe, kisha chukua ute weka kwenye kikombe au bakuli, baada ya hapo pigapiga ule ute hadi uwe na mapovu kisha chukua povu, linawe usoni au paka mwili mzima kisha liache likauke .
Baada ya hapo
osha na maji ya uvuguvugu, ukifanya hivyo mara kwa mara itakusaidia
kufanya ngozi yako iwe anga’avu.Kama umetoka kazini na unaonekana
umechoka na unataka kutoka usiku, chukua ute wa yai na pakaa chini ya
jicho na uache kwa dakika 10 hadi 15 kisha safisha, itasaidia kuondoa
muonekano wa uchovu katika macho yako.
Iwapo unasumbuliwa na kuwashwa ngozi, matumizi ya Yai pia ni njia sahihi kuepuka tatizo. Maski ya Yai ina utajiri wa ‘Acid’ za Amino ambazo husaidia kupunguza na kuondoa miunguzo au muwasho mwilini kutokana na protini inayopatikana kwenye Yai.
Kama unawashwa mwili mzima, chukua ute wa yai kidogo halafu nyunyiza katika maji utakayoyaoga sambamba na sabuni ya kuogea ndani ya siku chache utaona matokeo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3D_DQhoj6xKpIQiLLhUxmuWMUaEet7fO1hGpzvHMobC2lbG8oVuOK_UCTKuUUh3niiQ7L3bO9RhFd_W1snY6SldF68URmqXEs32ybCYERw3bkRuSHcMY9hwGqQ_t4cONccUhi5kh6GO4/s1600/tempe_12_1.jpg)
Kwa upande wa nywele wale ambao, nywele zao hazina afya au ukuaji wao ni hafifu wanaweza kupaka yai kichwani, hakikisha inagusa mizizi inayosaidia kuotesha nywele, kama nilivyoeleza awali protini iliyopo kwenye yai ndio chanzo cha kila kitu.Unaweza kutumia Yai kama ‘Hair Conditioner’, chukua kiini chake changanya na asali, mafuta ya watoto na maji kidogo.
Changanya vizuri kisha paka kichwa kizima acha kwa dakika 20 kisha osha na maji ya baridi chukua ute mweupe changanya na shampoo yako kidogo
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrKIINO8oP_3MUZT7bx4h-WQfOxtkNrOmyanAzcWbuiusIRBTstLZEftiqYCX824uKUugqYRkz5a6XKe9R1XSqsDGnjywEo8Ja-WGVC-GRNqNRcPGOXVXg2a8J0NOcgWI1FjizcGcOnxI/s1600/0%252C%252C6385148_1%252C00.jpg)
Jinsi ya kufanya ukitaka kutumia Yai kuboresha muonekano wa ngozi na nywele zako.
Chukua Yai, changanya na asali kijiko kimoja cha chai mafuta ya Olive .Chukua mchanganyiko huo kisha pakaa usoni na shingoni, kaa nao kwa dakika kumi hadi 15. Hii itasaidia kama una mashimo usoni yatokanayo na chunusi kubana.
Pia itasaidia kulainisha ngozi yako na kuwa nyororo, mchanganyiko huu pia utasaidia kukuondolea michubuko au alama za kuungua na jua, mafuta au krimu usoni.Unaweza kutenganisha kiini cha Yai na ule ute mweupe, kisha chukua ute weka kwenye kikombe au bakuli, baada ya hapo pigapiga ule ute hadi uwe na mapovu kisha chukua povu, linawe usoni au paka mwili mzima kisha liache likauke .
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPV7YEoTv80joQUv509HvwaawSRFB4kLMTNjIBYe9GFxgLZ4Dqhfn7pBro-1lIXtqScZzry2TPgGfi3Unn95JO3GE-GpCzPXLYuxZFCRnmecnamKRr3_OAOQ7WclhHcI0npKgFm2daaWw/s1600/Mchuzi+Kuku+Mayai+Nazi.jpg)
Iwapo unasumbuliwa na kuwashwa ngozi, matumizi ya Yai pia ni njia sahihi kuepuka tatizo. Maski ya Yai ina utajiri wa ‘Acid’ za Amino ambazo husaidia kupunguza na kuondoa miunguzo au muwasho mwilini kutokana na protini inayopatikana kwenye Yai.
Kama unawashwa mwili mzima, chukua ute wa yai kidogo halafu nyunyiza katika maji utakayoyaoga sambamba na sabuni ya kuogea ndani ya siku chache utaona matokeo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3D_DQhoj6xKpIQiLLhUxmuWMUaEet7fO1hGpzvHMobC2lbG8oVuOK_UCTKuUUh3niiQ7L3bO9RhFd_W1snY6SldF68URmqXEs32ybCYERw3bkRuSHcMY9hwGqQ_t4cONccUhi5kh6GO4/s1600/tempe_12_1.jpg)
Kwa upande wa nywele wale ambao, nywele zao hazina afya au ukuaji wao ni hafifu wanaweza kupaka yai kichwani, hakikisha inagusa mizizi inayosaidia kuotesha nywele, kama nilivyoeleza awali protini iliyopo kwenye yai ndio chanzo cha kila kitu.Unaweza kutumia Yai kama ‘Hair Conditioner’, chukua kiini chake changanya na asali, mafuta ya watoto na maji kidogo.
Changanya vizuri kisha paka kichwa kizima acha kwa dakika 20 kisha osha na maji ya baridi chukua ute mweupe changanya na shampoo yako kidogo
Saturday, October 8, 2011
MITINDO MBALIMBALI......
Natumaini tunaendelea vizuri na kazi za ujenzi wa taifa na kwahilo nawashukuru wote kwakuwa Taifa lolote ujengwa na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii.....
Leo ningependa tutazame aina tofauti za magauni(dressing style).... tazama hapo chini...
1.ametoka bomba......kama umeipenda nambie!
ONGEZA UREMBO.........
Ogoza urembo wa ngozi kwa kutumia chumvi |
KARIBU TUJUMIKE pamoja.........
........Natumaini hu mzima wa afya,mi nashukuru kwakuwa umepata muda wa kujumuika nami katika blod hii....nimesukumwa na moyo wangu mimi mwenyewe kuanzisha blog hii ili niweze kuelezana na wanawake wenzangu mambo mengi kuhusu UREMBO....Karibu tuwe pamoja.....
Subscribe to:
Posts (Atom)